ni katika tamasha la KARIBU MUSIC FESTIVAL lilofanyika katika viwanja vya MWANAKALENGE BAGAMOYO, ambapo watu wengi mastaa kutoka nchi mbalimbali waliweza kuudhulia tamasha hilo, lakini tukawashuhudia mastaa wengine kutoka KUBWA KULIKO ya CLOUDS FM (XXL) sio wengine ni B DOZEN na KENEDY waliweza kuudhulia tamasha hilo pia. BDOZEN. nilipiga naye story moja mbili lakini alicho sisitiza ni kwamba amefurahi kushiriki tamasha hilo.
B DOZEN.
.
VIDEO ZOTE ZA WASANII WOTE WALIOSHIRIKI NITAZIPANDISHA MUDA SIO MREFU KUPITIA YOUTUBE NI TING MUGOA.
No comments:
Post a Comment