WEUSI "HATUKUJUA KAMA TUNAKUBALIKA KI HIVI MJINI BAGAMOYO"
kikundi cha waimbaji wa kufokafoka ali maarufu WEUSI jana walishiriki katika tamasha la KARIBU MUSIC FESTIVAL lililofanyika katika viwanja vya mwanakalenge wilayani BAGAMOYO.
JOH MAKINI
NIKI WA PILI
weusi walishangaa kuona kila nyimbo wanayoiimba inawapa mzuka mashabiki,weusi walipanda stegini baada ya msanii wa kimataifa PAPAA WEMBA kutoka CONGO.
G NAKO.
No comments:
Post a Comment