Saturday, November 7, 2015

              PAPAA WEMBA ASEMA NIMEFURAI KUFANYA PERFORMANCE KATIKA MJI   WA KIISTORIA.(BAGAMOYO)

ni baada ya live performance yake katika tamasha la kimataifa la KARIBU MUSIC FESTIVAL lililoanza juzi katika viwanja vya mwanakalenge wilayani BAGAMOYO. performance yake PAPAA WEMBA ilikuwa ni jana ambapo aliweza kuzikonga nyoyo za mashabiki karibia woote,

 Papaa wemba akiimba













hii ni kutokana na nyimbo zake kuwa nzuri na watanzania wamekuwa wakimfuatilia toka mda mrefu.


 dencers.

mkongo man huyo alikuwa na madencer wake wanne ambao mda mwingine alikuwa anashirikiana nao kuiomba. 


No comments:

Post a Comment