Saturday, November 7, 2015

                    MAHAFARI YA 21 KUTOKA CHUO CHA SLADS BAGAMOYO.

chuo cha ukutubi na uhifadhi wa nyaraka SLADS kinatarajia kufanya mahafari yao ya ishirini na moja mnamotarehe 14 november mwaka huu.
 mahafari hiyo itakuwa ni ya wahitimu wa ngazi ya DIPLOMA 2 2015  na certificate 2015. TING MUGOA IWILL BE THERE KUHAKIKISHA KUWA NAKUPA UPDATES ZOTE ZITAKAZOTOKEA SIKU HIYO, USIENDE MBALI NA MTANDAO WAKO NAPATIKANA KUPITIA faceboo.com/TING MUGOA na ninapatikana kupitia WWW.TINGMUGOA.COM.

No comments:

Post a Comment