Friday, November 6, 2015

CRISTIAN RONALDO ATAJA WACHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU ANAOWAKUBALI.

Cristiano Ronaldo ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania ameingia kwa mara nyingine katika headlines baada ya kutaja wachezaji watano watakaofanya vizuri kwa miaka ya baadae yaani kuwa katika viwango vya juu kama yeye na Lionel Messi.
Staa huyo ametaja list ya mastaa watano anaowakubali na anaamini watafika mbali katika soka, katika list hiyo Ronaldo amemtaja Memphis Depay wa Man United, Neymar wa FC Barcelona, Eden Hazard wa Chelsea, Paul Pogba wa Juventus na mchezaji chipukizi wa Real Madrid Martin Odegaard

No comments:

Post a Comment