Hii ndio zawadi ya Diamond kwa Queen Darleen.
kama tulivyozoea kuona mastar wengi
huitumia siku ya kuzaliwa kupeana zawadi kali, sasa hii imetokea kwa
staa wa kike wa Bongo Fleva, Queen Darleen ambaye leo November 4, 2015
ni siku ya kuzaliwa na kufanyiwa bonge la suprise la kwa kuzawadiwa
gari aina ya RACTIS na kaka yake Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment